Pagale/nyumba ya kumalizia na kuhamia ni ya nne kutoka lami inauzwa mbweni teta karibu na shule ya feza
gari inafika hadi kwenye nyumba
bei mwenyewe anataka million 35
ina vyumba vitatu na sebule
ukubwa wa eneo inafika sqmt 300 makadirio inaweza kuzidi kidogo
mauziano serikali ya mtaa ruksa kufanya chini ya mwanasheria wako au mahakama
service charge 50k
iss