Location mbezi mwisho msakuzi kituo kwa lipe lanya
ni nyumba nzuri kubwa inauzwa
ina vyumba vinne vya kulala viwili ni master sebule kubwa jiko zuri kubwa na public toilet
ukubwa wa eneo sqmt 400 (20/20)
kiwanja kimepimwa na kina hati milki ya wizara
#bei ni ni mserereko kabisa
#milioni 40 na maongezi yapo
servichaj elfu 50
contact