Nyumba inauzwa ipo mbezi msumi, ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room dining Kitchen Public toilets. Hii nyumba inauzwa na bank... Owner na amesha hama.walikua na mgogoro na mke wake na uku wamekopa pesa bank wameona wahame ili fezea isiwakute.nyumba ipo wazi.na nyumba mpya ipo vzr sana.mtaa mzuli sana.mita 50 kutoka Barabara kubwa ya mtaa... mita kilometer moja toka Barabara inayo wekwa rami zinapo pita daladala za kutoka mbezi mwisho. Kiwanja chake sqm 400.