Nyumba inauzwa mbezi malamba mawili dk 5 tu kutoka barabara ya rami
bei million 70 tu
sifa za nyumba
vyumba 3 vya kulala kimoja ni master bedroom
sebule kubwa sana
jiko kubwa zuri
public toilet
dining room
nyumba ipo ndani ya fensi
umeme upo
maji safi ya dawasco yapo ndugu
ukubwa wa eneo sqm 500
kuoneshwa site 30k