Nyumba ya Kisasa Inauzwa milioni 60 maongezi yapo Ipo Mbezi Makabe center (A)- Dar es salaam - Tanzania
Vyumba Vitatu vya Kulala
Sitting room
Dining room
◇ Kitchen
◇Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 400
◇document sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali ya mtaa)
◇Umbali mita (300) kutoka barabara ya Mbezi Makabe