Nyumba na servant quater yake inauzwa na bank mbezi magufuli. iko umbali wa kilomita 1 toka stand ya magufuli
area: sqm 810
price : mil 49.9
umiliki : mkataba wa serikali ya mtaa
sifa zake-:
-vyumba vitatu vya kulaka
-chumba kimoja ni master
-jiko
-sebule
- dinning
-choo cha public
-servant quater ya vyumba viwili
cont.
call whatsapp &sms + kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>>
insta excela joshua
kujiunga na group let la whatsapp gusa hii link: