Apartments zinauzwa mbezi beach ya chini... zipo mbili... kila moja ina bedroom nne za kulala,sitting room, Dining, kitchen public toilets... na kila moja ina Tittle deed yake... zipo sehem nzuli sana... bei kila moja $ 350000. Mteja akitaka kununua zote zitauzwa kwa 650000. Kiwanja chake sqm 850