Nyumba nzuri sana inauzwa ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, dining, jiko na public toilet ndani. Umeme na maji vyote vipo, nyumba inaangalia barabara kubwa ya mtaa, ipo mtaa mzuri uliojengeka kwa mpangilio, parking ipo na ni dakika 7 kwa miguu kutoka barabara ya lami. Nyumba ina hati ya wizara (CLEAN TITLE DEED) KARIBU SANA