nyumba inauzwa chanika mwisho!
location: chanika mwisho, wilaya ya ilala, dar es salaam
bei: tsh milioni 38 tu!
sifa za nyumba:
vyumba 3 vya kulala
chumba 1 master
sebule
dining
jiko
choo cha public
umeme na maji vipo
sakafu ya tiles
dari la gypsum
ukubwa wa kiwanja: sqm 400
fursa nzuri ya kumiliki nyumba yako chanika mwisho!
piga au whatsapp065XXXXXXX