*NYUMBA/KIWANJA KINAUZWA MAGOMENI MAKUTI*
Ipo Mtaa wa Fundikira ni ya tatu kutoka main road nyumba inatizama rami ya mtaa,
Panafaa kwa uwekezaji wowote kama Apartments,Hotel,Maduka au Nyumba ya kuishi
■Plot size 271sqmt
■Bei 400m tsh
■Document: Title deed
Karibu sana mteja.