*nyumba inauzwa kunduchi*
ni mtaa wa pili baada ya lami.
nyumba ipo kunduchi
ukitokea mbuyuni kama unaelekea ununio unaingia mtaa wa kwanza kulia wa lami kama unarudi mbezi chini kwa kabila jirani sana na mtakuja shule.
■ina title deed
■plot size 805 sqmt
■bei 430m tsh
mmiliki mmoja karibu sana mteja.
imm