Habari!
Nauza nyumba yangu Ina vymba viwili (2) kimoja ni self contain jiko moja seble kubwa.
Nje kuna nafasi ya kujenga nyumba nyengine yenye ukubwa kama wa hii.pia kuna Banda la chumba na seble.la kumalizia na wapangaji waingie
Maji umeme masaa 24 bei 26 millions maongezi site077XXXXXXX