Nyumba inapangishwa, ina jumla ya vyumba vitatu, na ni vikubwa hatari. Viwili vya kulala, kimoja ni self, ina public toilet, jiko lake. Sebule kama uwanja wa mpira. Full vigae. Lami ni sekunde tu umefika. View nzuri ya ziwa zaidi ya malaika beach, parking ipo ya usalama wa kutosha. Ya dalali, ukishaielewa nyumba. Kodi miezi nne. Piga