Nyumba hii ipo Arusha ngaramtoni ina ukubwa wa SQM 750,ina vyumba 3 vyote ni master, inasebule kubwa yenye nafas yakutosha, dining kubwa,jiko kubwa stoo na public toilet,,ipo ndani ya fens,kiwanja cha nyumba hii kinalizz ya serikali,kwasasa kuna mpangaji anaishi hapo kwa mkataba wa miez 6 ila anajua kila kitu mteja akija hata leo yy anatoka kwakuwa ndio makubaliano ya mkataba na mwenye nyumba, hii haina dalali mteja ukija unaungashwa moja kwa moja na mwenye nyumba kufanya bihashara, mm ndio fundi wa hii nyumba,ndio nitakae mteja na mwenye nyumba,kwa maelezo zaid+ watsap/call