Nyumba zipo mbili zimeungana hazijaisha kwa ajili ya kupangisha. Nyumba zimepauliwa (roofless), zimepigwa draft, grill za madirisha na milango tayari. Wiring imekamilika (bomba zimeshachimbiwa na wire kuwekwa pamoja na main switches kwa kila nyumba). Bado plaster, na madirisha ya aluminium na gypsum boards. Shimo la choo tayari. Nguzo ya umeme ipo hapo hapo kwenye kiwanja hauhitaji kuweka ngizo ya umeme kutoka TANESCO. Pia kuna matofali zaidi ya 500 hayajatumika. Kiwanja kina hati miliki (granted right of occupancy)