New usb 5v 8w soldering iron.temperature 330° mpaka 450° adjustable.any dc 5v.huna haja ya kusubiria umeme,mambo ni moto.ukiwa na dc 5v(chaja ya simu,powerbank,usb,n.k... ) tu unachomelea.ina temperature kubwa sana.unaseti mwenyewe,inatoa joto 330°,370°,400° na 450° yan unachomelea saafi kabisa bila umeme mkubwa.ukinunua unapata solder,stendi,usb waya,na mashine yenyewe