Hiki ni kifaa cha kisasa ambacho unakiseti wewe mwenyewe kwamba kiwashe kitu kwa mda gani na kizime kitu kwa mda gani,mfano unaweza kukiseti kwenye incubator kua kigeuze mayai kila baada ya masaa mawili na kistop kila baada ya dakika kadhaa.pia unaweza kukiseti kiwashe friji,ac, incubator,umeme,.n.k kwa mda utakaoseti na kitavizima kwa mda utakaouseti.