New mt 3608 dc-dc adjustable stepup voltage,3v-12v 4v-30v.2ah.ni saketi muhimu sana kwajili yakukuza umeme.unaweka battery ndogo ya 3v inaikuza hadi 12v au zaidi.wale wenzangu wabunifu wa majaribio ama project ama mafundi tv,radio,... lazima muwe na hii saketi itawasaidia sana kutest vitu.ina nguvu ya 2ah.balb ya 12v inawaka kwa betri ya 3.7v.