Nyumba inauzwa
ipo mbezi kwamsuguli
bei tsh milion 85 maongezi yapo
ukubwa wa eneo sqm 500
nyumba ni underground ina vyumba 5 vya kulala
juu kuna vyumba vitatu vya kulala
chumba kimoja master
sitting room
dinning room
kitchen
public toilet
chini ina vyumba viwili vya kulala
chumba kimoja master