Nyumba Inauzwa milioni 75 Ipo Tabata kimanga Dar es salaam. Vyumba 3. Master bedroom 1 Sitting room jiko Dining room na public Toilet. Nyumba Ina tiles na jypsum. Pia Nyumba Ina umeme na maji safi. Kiwanja Sqm. 700 Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa.