Nyumba inauzwa
iko-dar-es-salaam tz
mahali-bahari beach
ukubwa sqm 500
ina hati miliki
inauzwa milioni 140
maongezi yapo
____________
ya kifamilia
______
yenye:-
vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimoja wapo ni master
,sebule kubwa,dinning jiko lenye makabati
choo/bafu vya public vyandani
gypsum, tiles slides windows
umeme upo wa #luku yake
maji yapo ya bomba 24hrs
cars parking space ipo
nje fencedhouse