3bdrm House in Makongo Juu Itv,, Kinondoni for sale
1/10
+ 5
images
Dar es Salaam, Kinondoni, 10/05
26 views
3bdrm House in Makongo Juu Itv,, Kinondoni for sale
+1
House
3 bedrooms
3 bathrooms
Parking Space
MAKONGO JUU ITV, NEAR UDSM
Property Address
Makongo Juu ITV, near USDM
Estate Name
Fairly Used
Condition
3
Toilets
Semi-Furnished
Furnishing
6
Number of Cars
1416sqm
Property Size
10000000
Agent Fee
24-hour Electricity
Air Conditioning
Balcony
Dining Area
Dishwasher
En Suite
Kitchen Cabinets
Pre-Paid Meter
Tiled Floor
Wardrobe
.nyumba inauzwa , makongo juu itv dar es salaam, karibu na chuo kikuu cha dar es salaam (udsm):
vyumba: nyumba ina vyumba vitatu, kikiwemo chumba kimoja cha kulala (master bedroom).
kila chumba kina makabati ya nguo.
jiko: nyumba ina jiko zuri.
store: kuna store kubwa.
mazingira: nyumba ina garden na miti inayofanya mazingira kuwa mazuri zaidi.
ukubwa wa eneo: eneo lina ukubwa wa mita za mraba 1416.
lokesheni: nyumba iko karibu na barabara ya lami.
matumizi: eneo hili linaweza kutumika kujenga hostel kubwa, makazi, au biashara.
bei: bei ya nyumba ni $230,000, na inaweza kujadiliwa.
kwa taarifa zaidi, piga simu kwa namba hizi: o623XXXXXX