Nyumba inapangishwa laki tatu na nusu kwa mwezi (tsh.350,000/=) nyumba ipo ndani ya fence inajitegemea luku yake na ina vyumba3 vya kulala,jiko,sebule,master na public toilets maeneo ya kawe karibu na stendi kuu ya mabasi, laki tatu (tsh.300,000/=) kama unakodi ya miezi 6