Nyumba hii inapangishwa ipo tegeta ni kubwa na mandhari mazuri, umeme na maji vinajitegemea pia ipo ndani ya fensi , kodi ni milioni moja na laki tatu kwa mwezi, malipo ni miezi sita, pia nahusika na viwanja, nyumba za kununua na zakupangisha kulingana na bei yako au kulingana na unachokitaka karibu,whatsap076XXXXXXX