Type C to USB 4 port.kinaingiza Type C kinatoa usb.unakichomeka kwenye simu halafu unaweka flash na vitu vingine.au unakichomeka kwenye laptop ya Type C kinatoa usb nne unaweka flash, mouse, keyboard,simu... vyote kwa pamoja vinasoma kwenye laptop kwa wakato mmoja