High Power Hi-fi home fieter Subwoofer system200W + 300W mid.ina chanel 3.moja ni sabufa na mbili ni midi,inatetemesha kabisa,ni mdundo wa kisasa wenye sauti iliyochujwa yenye bass kuuubwa yakutetemesha.utatakiwa uwe na spika kubwa kwajili ya woofer na spika mbili kwajili ya midi sound.