Eneo Kwaajili Ya Kuweka Biashara Linapangishwa Lipo Mivumoni
1/14
+ 9
images
Dar es Salaam, Kinondoni, Kinondoni, 23/03
27 views
Eneo Kwaajili Ya Kuweka Biashara Linapangishwa Lipo Mivumoni
+1
Mixed-Use Land
Type
1200sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Eneo kwaajili ya kuweka biashara linapangishwa
bei ni laki 400,000 kwa mwezi
eneo lipo madale kontena barabara ya mivumoni eneo lina angalia barabara kubwa ya mivumoni ambayo ipo kwenye harakati za kuwekwa lami
eneo linafaa kwa biashara zifuatazo
#kiwanda cha #tofali
#kiwanda cha #kutengenezea furniture
#parking ya magari
#yard ya magari
#caw #wash
#pia kuna kisima cha #maji safi kinachotoa #maji ya baridi
#nk...
eneo lina ukubwa wa sqmt 1200
eneo lipo sehemu nzuli sana na biashara yoyote inaweza kufanyika
#cal071XXXXXXX