Vyumba inauzwa
iko-dar-es-salaam tz
mahali-mbezi beach africana
ukubwa sqm 1000
kiwanja kimepimwa kina hati
nyumba zipo mbili zote zinauzwa kwa pamoja
ya kifamilia
______
yenye:-
vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimoja wapo ni #master
#sebule kubwa#dinning jiko lenye #makabati
#choo/bafu vya public#vyandani
#gypsum #tiles #slides #windows
#umeme upo wa #luku yake
#maji yapo ya #bomba #24hrs
cars #parking space ipo
nje #pavingblocks
#nje pervingblock
fencedhouse
garden