Ina uzwa mali safi
mbezi beach upande wachini
vyumba vitatu vyakulala viwili master seble dinng jiko stoo bafu public toilet full ac full makabati vyumbani kote
pia ina servant counter ya chumba seble jiko choo
ina hati kamili
bei milioni 250 maongezi yapo