House for sale kigamboni
location kibada chekechea
___________________
nyumba inauzwa kigamboni
bei milioni 120
maongez kidogo
hati safi kutoka wizara ya aridhi
are sqm 1500
____________________
nyumba ina vyumba v3 vyakulala chumba mojawapo master sitting room dinning room jiko public toilet store
________________
nyumba inamahitaji yote ya muhim kama umeme na maji fensi