Nyumba ya vyumba 3 vya kulala inauzwa. Vyote vina vyoo ndani ina ,sebule kubwa, dinning room, jiko , choo cha public na Cha nje .Pia pembeni kuna nyumba ya vyumba 3 ambayo Iko kwenye kozi ya 11 . Kila chumba kina choo chake. Kiwanja kina ukubwa wa mita za eneo 483 na hati miliki ya miaka 99. Ipo Kwa Mzungu Mpiji Magohe.