Arpatiment zinauzwa mahali zilipo ni kimara bonyokwa upande wa kwa mama Stella km 3 toka kimara mwendo Kasi Bei mil 85 arpatiment zipo 5 tatu za chumba na sebule jiko na choo na mbili ni vyumba v2 na sebule na publc na chumba master eneo limepimwa hati bado karibu mteja