Nyumba nzuri sana mazingira tulivu sana mpya inauzwa
mahali ilipo daresalaatz
eneo kimara korogwe barabara mpya ya maji chumvi
usafiri wa kushea bajaji wa miatano 500
yenye
vyumba v4 vya kulala v2 ni self contained , jiko, dinning, sebule na public
bei inauzwa tshs mil 150
ukubwa wa eneo sqmiter 630
pameshapimwa tayari pana biconi tayari