Nyumba inauzwa kimara stop over
Ukubwa wa Eneo ni square meters 600
Chini ina vyumba 3 vya kulala kimoja master Ina jiko daining na Sebule.
Juu kuna vyumba 2 vya kulala kimoja master Ina jiko daining na Sebule.
Bei milion 270 mazungumzo yapo.
Umbali kutoka Morogoro ni meters 800