Nyumba inauzwa kimara stop over
location stop over upande wa kushoto kama unaenda mjini
sifa
vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master
sebule
jiko
dinning
public toilet
nyuma ya nyumba kuna vyumba vi2 na sebule na choo cha public
ukubwa sqm 450
bei million 150 mazungumzo
mdoe