Nyumba ina uzwa kimara temboni dk6 kwa miguu kutoka lami
ina mpangaji ana lipa kodi 500,000/=
sqmt 600
hati miliki safi
bei milioni 250
vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
seble kubwa dinning
jiko kubwa
public toilet
ndani ya fence
parking space kubwa