Apartment ina chumba chenye choo ndani na funiture zake
umeme maji ni bure kabisa
full ac
cctv camera
free wi-fi
bei 250,000 kwa mwezi malipo miezi 3 tu
location kimara korogwe dk 15 tu kwa miguu kutoka mwendokasi boda buku mpaka getini
mazingira mazuri sana,paving safi, sehemu ya kupumzika, parking kubwa sana
dalali peter utamlipa mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba service charge 20,000 kuona nyumba
mawasiliano071XXXXXXX