Ni nyumba nzuri ambayo inajitegemea yenyewe kwenye fence,ina vyumba 4 vya kulala kimoja master sebule najiko zuri lenye makabati, dinning room, public toilet, ina makabati ya nguo vyumba vyote, pia ina eneo kubwa hata ukitaka kufuga kuku niwewe tu, ipo kimara kona, umbali toka lami dk 8 ,