Apartment ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, jiko na public toilet ndani. Inajitegemea luku yake yenyewe pamoja na mita ya maji, apartment ipo ndani ya fence yenye parking space kubwa pia kuna mlinzi masaa 24 karibu sana, unaweza kupitia korogwe au riverside kufika na njia zote ni mkeka mpaka kwenye nyumba, karibu sana malipo kuanzia MIEZI 3 INAPOKELEWA