Apartment nzuri mpya inapangishwa mbezi kwa msuguri( km) 1
# chumba master
# sebule kubwa
# jiko safi
# umeme na maji unajitegemea
bei ni 250x6 ilipwe kodi ya miezi sita
nyumba ipo ndani ya fence
kujakuona nyumba ni 20k ukiipenda nyumba utamlipa dalali pesa ya mwezi mmoja
kutoka morogoro rood km 1
usafiri upo bajaji 700 unaingia ndani
boda 1000