Nyumba nzuri sana inauzwa na bank bei ya kutupa
loc : kimara suca/temboni
area : ~sqm 600
umiliki : mauziano ya serikali ya mtaa
-3 bedrooms 1 self
-kitchen
-dinning
-sitting room
-public toilet
huduma zote zipo... gharama ya kupelekwa site ni sh elf 20
mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ... ya kupanga na kununua... mashamba/viwanja/ magari nk ... usisite wasiliana nasi haraka
Nyumba iko karibu na stand zingiziwa usafiri unapatika muda wowote ndani ya dar es salaam, ina vyumba viwili nje ya nyumba ndani ya fance na kuna mabanda ya mifugo pia kuna choo cha nje, fance kubwa sana. karibuni sana tukuhudumie
ina vyumba vya kulala vinne master 2. jiko, sitting, dinning, public toilet, maji na umeme upo na watu wanaishi. ukubwa ni 25x25 haina udalali karibu bei inapungua