House for sale
ina vyumba vinne vya kulala vyumba vyote ni master sebule dinning room jiko na public toilet tiles gypsum slide window fence na parking kubwa ipo
pia kuna servant quarter ya vyumba viwili vya kulala kati ya vyumba vyote chumba kimoja ni master sebule jiko na public toilet
kuna sehemu ya kufulia na kuna store ya nje usalama wa kutosha na nyumba ina hati ya ardhi