Nyumba inauzwa ipo kigamboni kibugumo Nyumba ya vymba 4 vya kulala stingiroom daingiroom master toilet polic kitchen Nyumba Umeme upo maji yapo Nyumba Ina Hati milik ukubwa WA kiwanja sqm 1600 Nyumba Ina sevetikota cha vymba 2 Nyumba ina kisima cha maji Nyumba bei ml 250