Nyumba inauzwa
dalali-haruni-tz
kigambon kibugumo
inavyumba vinne vyote masta najiko kubwa lenye makabati nasebule kubwa yenye nafasi pamoja dining
bei milioni 270
maongezi ypo
ukubwa wa eneo sqm 1000
kiwanja kimepimwa kina ati kamili
dalali-haruni-tz