Nyumba inauzwa kigamboni Geza ulole. Inauzwa na bank. Ina bedroom nne za kulala, sitting room, Dining, kitchen, public toilets. Nyumba mtaa mzuli. Inauzwa na bank kwa sababu Owner anadaiwa na umeshindwa kulipa mkopo... na muda umesha pita sana... bank wanauza zamana ya mteja wao... kiwanja chake sqm 850. Documents Tittle deed. Karibu