Nyumba inauzwa kigamboni Mwongozo... nyumba mpya.ina vyumba vitatu vya kulala,sitting room,dining, kitchen public toilet,nyumba mpya nzuri sana.ipo jirani na nyumba za Watumishi Kigamboni Mwongozo.umbali wa mita 500 kutoka barabara ya Rami... kiwanja chake sqm 500 Sales Agreement. Kwenda kuona nyumba Service charge Tsh 50000/= karibu