Nyumba ipo kigamboni uvumba njia mpya hii ya kwenda kibada
Ina vyumba vitatu viwili master kimoja cha kawaida ina sitting room stoo jiko
Na nje kuna banda halijaisha la chumba kimoja master na sitting room na kuna choo cha public pia nje na kuna jiko na stoo