Anyumba inauzwa
ipo kigamboni kibada
bei tsh milion 180 maongezi yapo
ukubwa wa eneo sqm 700
umiliki:hati miliki
vyumba 3 vya kulala
vyumba 2 self contained
kitchen
sitting room
dinning room
public toilet
store
fenced and gate
maji yapo dawasco
umeme upo
gharama ya kwenda site kuoneshwa nyumba tsh 30.000/=