Apartments for sale
apartment zipo sita na kila moja ina vyumba viwili vya kulala kati ya vyumba vyote chumba kimoja ni master sebule dinning room jiko na public toilet tiles gypsum slide window fence na parking kubwa ipo na kila apartment moja inapangishwa 500k kwa mwezi