Nyumba ina vyumba 3 vya kulala viwili ni master, sebule, dining, jiko na public toilet ndani. Eneo lake lote limezungushiwa fence bado geti tu. Umeme na maji vyote vipo, ipo umbali wa 1.5km kutoka morogoro road. Eneo hili lina HATI miliki ya wizara. Karibu sana